Tuesday 2 December 2014

Kutapika na Kuharisha kwa watoto

Ni kawaida kwa watoto wachanga na watoto kutapika. Katika kesi nyingi , kutapika hudumu kati ya siku moja mpaka mbili na si ishara ya kitu chochote kikubwa . Kawaida sababu ya kutapika kwa watoto ni gastroenteritis . Haya ni maambukizi ya kolomeo kawaida husababishwa na virusi au bakteria. Na pia husababisha kuhara . Mfumo wa kinga ya mtoto wako kwa kawaida hupigana na maambukizi baada ya siku chache.

Watoto mara nyingi pia hutapika wakati wanapomeza  hewa wakati wa kulishwa . Hata hivyo , kuendelea kutapika wakati mwingine inaweza kuwa ni ishara ya kitu kibaya zaidi , ikiwa ni pamoja maambukizi makali kama vile uti wa mgongo.

Ukurasa huu unaeleza nini cha kufanya kama mtoto wako anaendelea kutapika na iuaelezea baadhi ya sababu ya kawaida ya kutapika kwa watoto wachanga, na watoto kwa ujumla . Kama mtoto wako ana joto la juu , unaweza pia kusoma kuhusu homa kwa watoto

Nini cha kufanya.

Kama mtoto wako anatapika, unapaswa kufuatilia hali kwa uangalifu mkubwa. Amini moyo wako na mpeleke kwa dakitari wako mara moja kama wewe una wasiwasi.

Kama sababu ni tummy bug tuu (kuhara kwa kawaida kwa mtoto ama tummy flu), atakula na kucheza kama kawaida.  Katika kesi hiyo, endelea kumlisha kama kawaida na kumpatia kinywaji (maji, juice n.k) mara kwa mara. Maji humsaidia kutopunguka kwa uwingi wa maji mwilini ambao ni hatari.

Lakini kama haonekani  wa kawaida, - kwa mfano, kama yupo floppy , hasira , kutojibu, au amepoteza hamu ya kula -  inawezekana anaumwa, hivyo unapaswa kuwasiliana na daktari wako mara moja.


Kumpeleka kwa daktari

Unapaswa kuwasiliana na daktari wako kama :

          •Mtoto wako amekuwa akitapika kwa zaidi ya masaa 24
          • Mtoto wako  anatapika  ndani ya masaa nane, au kama unafikiri amepungukiwa na
            maji mwilini.
          • Kama ni floppy, mwnye  hasira, anagoma chakula , au hayupo kwenye hali ya kawaida
,         • Ana maumivu makali tummy
          • Ana maumivu ya kichwa na shingo ngumu.

Ishara ya upungufu wa maji mwilini
Kutapika  kali na kuhara kunaweza kwa urahisi kusababisha upungufu wa maji mwilini , hasa katika
watoto wachanga. Hii ina maana mwili wa mtoto wako hana maji ya kutosha mwilini  au hana chumvi inayohitajika kwa ajili ya mwili kufanya kazi kwa kawaida .

Watoto wenye upungufu wa maji  mara nyingi hujisikia na huonekana kuumwa.

 Ishara ya upungufu wa maji mwilini ni :
• kinywa kikavu
• kilio bila kutoa machozi
• kukojoa kidogo sana au kiasi cha nappies anazokojolea kupunguka.
• Kuongezeka kwa kiu
• Kudhoofika

Ufanyaje

Jambo muhimu zaidi unaweza kufanya kama mtoto wako anatapika ni kuhakikisha anaendelea kunywa maji ya kunywa.
Kama mtoto wako anatapika , endelea kumnyonyesha. Kama wamepungukiwa maji, , atakuwa anahitaji maji ya ziada. Uliza mfamasia wako kama wangeweza kupendekeza kumpatia dawa ya kusaidia kutopunguka kwa maji mwilini.
Dawa hii ni poda maalum unaitengeneza kwa kuweka kwenye maji. Ina sukari na chumvi katika kiasi maalum ya kusaidia kuchukua nafasi ya maji na chumvi kupotea kwa njia ya kutapika na kuhara.
Watoto ambao hutapika wanapaswa kunywa maji haya kidogokidogo hivyo hawatapungukiwa maji
mwilini. .Pia motto anaweza kunywa maji , maji mengi kwenye juice ya kuchanganya na maji , diluted maji ya matunda au maziwa.
Hata hivyo, kama pia wanaharisha, maji ya matunda  ziepukwe. Tena, GP wako au mfamasia anaweza kupendekeza ORS.


Dawa ya kusaidia wakati wa kuharisha kwa motto.


Sababu ya kutapika kwa watoto.
 Kuna sababu ya uwezekano wa kutapika katika watoto, ambayo ni ilivyoelezwa hapo chini


  •  gastroenteritis
    Gastroenteritis ni maambukizi ya utumbo. Ni kitu cha kawaida inayosababisha kutapika kwa watoto na kwa kawaida huchukua muda wa siku chache .
  • maambukizo ya hatari
    Watoto wadogo hasawapo  katika hatari ya kupatwa na maambukizi kama vile pneumonia au maambukizi ya figo. Unapaswa kuwasiliana na daktari wako kama motto ana dalili ya magonjwa haya.
  • ugonjwa wa kidole tumbo
    Ugonjwa wa kidole tumbo










23 comments:

  1. Asante،nmejifunza maana mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na mwezi mmoja kila anapokula anatapika,nmeenda hospital, lkn naona bado,na kunyonya kagoma

    ReplyDelete
  2. Mchuzi wa samaki unaweza sababisha mtoto kutapika

    ReplyDelete
  3. Mtoto wangu anatapika tu bila kuwa na joto Ina tumbo linaunguluma kila akiamka anatapika nataka kufahamu itakuwa ni tatizo gani.. Ana mwaka na miezi 9 lakin anakuwa anadai maji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante kwa elimu kuhusu afya na mwenyezi azidi kuwapanguvu ya kutuelimisha

      Delete
  4. Mtoto wangu ni wa mwez mmoja na nusu ila toka juzi had leo anaharisha sana

    ReplyDelete
  5. Wangu leo ndo anatapika na kuchemka hosptl ameenda na hana maralia nn shida

    ReplyDelete
  6. Na watoto mapacha wana miezi tisa ila wanaharisha na kutapika muda wote plz naomba msaada nifanyaje? ?

    ReplyDelete
  7. Mtoto wangu hana hana joto lolote ila mara nyingi anagoma kula na akila tu basi hutapk mar kwa mara, shida nn mkuu?

    ReplyDelete
  8. Ni muhimu kuwasiliana na wataalam wa afya juu ya hali za watoto japo kuharisha na kutapika ni jambo la kawaida kqa watoto hasa ikiwa hajapanda joto
    Mara nyingine ni hatua za ukuaji tu

    ReplyDelete
  9. Mtoto wangu ana miezi kumi na moja anatapika na kuharisha anaitisha maji akipewa ana tapika

    ReplyDelete
  10. Mwanang anamwaka kasoro siku 6 hapandsh joto lkn anahara na kutapika nmemplk hosptl Hana malaria kapw dawa yakuzuia kutapika nasindano kachomwa lkn bd anatapk shida inawza ikawa nni?

    ReplyDelete
  11. Mwanangu ana mwez mmoja na nusu nimeanza klinic juz akachomwa sindano zile za mapajn na matone bdae nilipokuwa namnyonyesha amekuwa akitapika baada tu ya kunyonya Nini shida

    ReplyDelete
  12. Mwanangu ana umri wa miezi 6 na anatapika kila anachokula, hospital hakuna tatizo kachomwa sindano ya kuzuia kutapika ila bado. Kalegea na analoose weight. Nn tatizo? Msaada plz

    ReplyDelete
  13. Nimejifunza mengi lakini mwanangu anatapik na kuharisha ck ya tatu sasa akinyony .Anatapik na amegom kula kabusa hospital wamenipdawa na amechomw sindano

    ReplyDelete